Back to top

Jerry Muro azindua kiwanda cha kutengeneza Barakoa.

13 May 2020
Share

Wilaya ya Arumeru leo imezindua kiwanda kidogo kitakachokuwa kikizalisha Barakoa kwa ajili ya watumishi wa wilaya hiyo katika sekta ya afya. 

Akizindua kiwanda hicho Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro wamezindua kiwanda kidogo cha uzalishaji wa barakoa katika wilaya hiyo.

Alisema kiwanda hicho kitakuwa ni mali ya Serikali na kipo ndani ya hospitali ya Halmashauri ya Meru Tengeru.

" Tunatengeneza barako kwa ajili ya watumishi wetu wote wa sekta ya afya kwa vituo vyetu vya afya na zahanati," alisema Jerry Muro.