Back to top

JPM amteua Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro.

21 June 2020
Share

Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli amemteua Bwana Bakari Msulwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro, akichukua nafasi ya Bi.Regina Chonjo ambaye amestaafu.