Back to top

Kamati yaundwa kupambana na ongezeko la watoto wa mtaani Dar.

18 May 2018
Share


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ameunda kamati kwa ajili ya kupitia njia bora ya kutatua tatizo la ongezoko la watoto wa mitaani mkoani Dar es salaam na kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti wake Albert Gasper Msando wakili wakujitegemea.

 kamati hiyo inanzaa kazi mara moja ikiwa na wajumbe 18 kutoka makundi mbalimbali ya jamii wakiwemo wanaharakati wa kutetea haki za mtoto na wanawake.

Kamati iliyoundwa utakuja na mapendekezo ni njia gani zinapaswa kutumika kudhibiti tatizo la watoto wa mitaani pamoja na kutelekezwa kwa akina mama na watoto wao wakiteseka baada ya kukosa msaada.