Back to top

Kenyatta ateta na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Ofisini kwake

22 January 2020
Share

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Ofisini kwake.

Mazungumzo baina yao yameangazia kuboreshwa kwa biashara kati ya Kenya na Uingereza pamoja na ushirikiano katika mafunzo ya kijeshi vikosi vya Uingereza vikiendelea na kambi zake za mafunzo nchini Kenya.