Back to top

Kijana India kuwashtaki wazazi wake kwa kumzaa

07 June 2022
Share

Mfanyabiashara Raphael Samuel mwenye umri wa miaka 27, mkazi wa Jiji la Mumbai nchini India amepanga kuwashtaki wazazi wake kwa sababu hawakuomba ridhaa yake ili azaliwe ambapo ameliambia Shirika la Utangazaji la #BBC kuwa haikuwa sahihi kuleta mtoto duniani na kuishia matatizoni maisha yake yote.
.
Hata Hivyo, Katika taarifa iliyotolewa na mama yake Kavita Karnad Samuel alimpongeza mwanawe kwa kumpeleka mahakamani, akijua kuwa wote ni mawakili.