Back to top

Kilichopelekea TCU kuvifutia usajili vyuo vikuu vitatu hiki hapa.

21 January 2020
Share

Tume ya vyuo vikuu nchini imevifutia usajili vyuo vikuu vitatu kikiwemo chuo kikuu cha kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU).

Akizungumza na wanahabari Katibu Mtendaji wa (TCU) Prof.Charles Kihampa amesema wamelazimika kuvifuta vyuo hivyo  baada ya kujiridhisha  kuwa hata wakiongezewa muda  hawatakidhi vigezo.

Aidha amesema wameridhia wamiliki wa vyuo vikuu vishiriki viwili na vituo vitatu vya vyuo vikuu kusitisha utoaji wa mafunzo baada ya kuona kwamba hawawezi kuendana ana hali halisi.

Aidha tume hiyo imeridhishwa na maboresho yaliyofanyw ana chuo kikuu  kishiriki cha afya  na sayansi shirikishi cha mtakatifu Francisco kwa kurekebisha mapungufu waloiyokuwa nayao hivyo tume imekiruhusu kuanza kudahili wanafunzi wapya kuanzia mwaka wa masomo 2020/2021.

VIDEO NZIMA IPO HAPA TAZAMA KUJUA KWA KINA