Back to top

Mabalozi wa Uingereza na Canada wakiongea na wafanyakazi wa IPP Media.

03 May 2021
Share

#Picha: Balozi wa Uingereza David Concar na Balozi wa Canada Pamela O'Donnell (Katikati) wakiongea na wafanyakazi wa IPP Media baada ya kufanya ziara kwenye vituo hivyo vya habari. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/RadioOne Joyce Mhaville na kulia ni Mkurugezi wa Mauzo na Masoko wa ITV/RadioOne Joyce Luhanga.