Back to top

Maduka 360 ya dawa yafungiwa

24 April 2022
Share

Naibu Msajili wa Baraza la Famasi nchini, Bw.Boniface Magige amesema zaidi ya maduka 360 ya utoaji wa huduma ya dawa katika mikoa nane yamefungiwa kutoendelea kutoa huduma hiyo kwa kufanya biashara hiyo bila kuwa na leseni pamoja na kuwepo kwa watoa huduma ambao hawatambuliki na Baraza hilo ambapo pia ametoa rai kwa watu kutoanzisha maduka hayo kiholela.