Back to top

Mahakama yahamia eneo la ushahidi.

26 March 2020
Share

Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imehamia katika ghala la kuhifadhia makasha la Mamlaka ya Bandari Tanzania( TPA) kwa lengo la kuthibitisha ushahidi wa makasha 18 ya magogo yaliyokamatwa Januari 2020 katika bandari ya Dar es salaam yakitaka kusafirishwa nje ya nchi.

Watuhumiwa waliokamatwa ni Ragesh Verlam na Manish Khattar wenye asili ya India walipofikishwa mahakamani wamekiri makosa yote waliyosomewa.