Back to top

Majaliwa aunda tume ya kuchunguza na kukagua mali za Ushirika - Mbeya.

02 August 2021
Share

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aunda tume ya kuchunguza na kukagua mali za Ushirika wa Wakulima wa Cocoa wilayani Kyela mkoani Mbeya ambayo pia ameipa Mamlaka ya kuwakamata wale wote watakaobainika wamefanya ubadhirifu wa mali za Ushirika huo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo kusimamia Chama Cha Ushirika kinachonunua Cocoa, kuhakikisha wanawalipa wakulima ndani ya saa 48 kuanzia wanapochukua mazao hayo.

Kwa Sasa wakulima wanalipwa baada ya siku kumi.