Back to top

Majeshi ya kigeni yaondolewa kwa muda Iraq, Marekani aendelea kugoma.

08 January 2020
Share

Baadhi ya vikosi vya kijeshi vilivyopelekwa Iraq vinaondolewa kwa muda huku wasiwasi ukiongezeka kutokana na uwezekano wa Iran kulipiza kisasi mauaji ya Jenerali Qassem Soleimani aliyeuawa wiki iliyopita na Marekani.
 
Hata hivyo, Marekani imesema haiwaondoi wanajeshi wake 5,200 walioko Iraq.

Nchi  zilizotangaza kuwaondoa wanajeshi wake Iraq ni, Canada, Ujerumani, Jumuia ya kujihami ya NATO, Romania huku Ufaransa ikisema haina mpango wa kuwaondoa wanajeshi wao Iraq.