Back to top

Trump atuma jumbe ya 'matumaini' tweeter baada ya shambulizi la Iran.

08 January 2020
Share

Rais Donald Trump atuma ujumbe tweeter baada ya Iran kushambulia kwa kombora kambi mbili za jeshi nchini Iraq ambazo hutumiwa na wanajeshi wa Marekani.

“Kila kitu kiko sawa!makombora yaliorushwa na Iran katika kambi mbili za kijeshi ambazo ziko Iraq,tathmini inafanyika kujua madhara na uharibifu uliotokea.lakini mpaka sasa tuko vizuri !tuna vifaa vya kijeshi imara na vyenye ubora wa hali ya juu zaidi duniani,kesho asubuhi nitatoa tamko”.Rais Trump.

"All is well! Missiles launched from Iran at two military bases located in Iraq. Assessment of casualties & damages taking place now. So far, so good! We have the most powerful and well equipped military anywhere in the world, by far! I will be making a statement tomorrow morning.

Rais huyo wa Marekani anatarajiwa kuhutubia mapema Alhamis Asubuhi.