Back to top

Makombora 1,500 yawasili nchini Ukraine

26 March 2022
Share

Maafisa wa serikali ya Ukraine wamesema kuwa shehena ya makombora 1,500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini humo kutoka nchini Ujerumani.
.
Ujerumani imebatilisha sera yake ya kihistoria ya kutopeleka silaha katika maeneo yenye mizozo kufuatia uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.