Back to top

Mauaji Mtwara: RPC, RCO wasimamishwa kazi.

04 February 2022
Share

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kuwasimamisha kazi maafisa wa Polisi wa Mtwara na Kilindi ili kupisha uchunguzi wakati timu aliyoiunda ikifanya kazi, ambapo amebainisha kuwa maafisa hao ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara(RPC), Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Mtwara (RCO) na Mkuu wa Kituo cha Polisi Mtwara cha eneo alilofia Mfanyabiashra Mussa Hamisi Hamisi na Mrakibu Msaidizi wa Polisi Greyson Mahenge anayedaiwa kujinyonga.