Back to top

Mh. Rais Samia S. Hassan afanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta.

04 May 2021
Share

Mh. Rais Samia S. Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya Mh.Uhuru Kenyatta Ikulu Jijini Nairobi Kenya, ambapo miongoni mwa vitu walivyo zungumza ni pamoja na namna ya kukuza ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili.