Back to top

Mhe. Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji.

02 August 2021
Share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji  wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya.