Back to top

Mhe. Rais Samia atakuwa Mgeni Rasmi Mei Mosi leo - Mwanza.

01 May 2021
Share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01 Mei, 2021 atakuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo Kitaifa yatafanyika katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.