Back to top

News

Mtu mmoja auawa na wengine watatu kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa askari wa wanyama pori katika operesheni ya kuondoa makazi katika eneo linalodaiwa kuwa ni la mapitio ya wanyama pori Katavi.