Mke wa Balozi Salim Ahmed Salim Bi.Amne Rifai amefariki dunia hii leo na mwili wake umehifadhiwa msikiti wa Maamur
Maziko yatafanyika Alhamisi Oktoba 22 ambapo ataswaliwa Adhuhuri msikiti Maamur na kuzikwa makaburi ya Kisutu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema Amina.