Back to top

MSIWAGEUZE WATOTO WENU KUWA CHANZO CHA KIPATO

03 February 2023
Share

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka wananchi wa Wilaya ya Morogoro kuacha kuwageuza watoto wao mahari kwa kuwaozesha mapema Ili kujipatia kipato ama kwenda kuwatumikisha kazi za ndani mijini na kushindwa kuendelea na masomo.
.
Chongolo amesema hayo akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Kiroka na Kinole wilayani Morogoro.