Back to top

Mtuhumiwa wa ujambazi auawa kwa kupigwa risasi na polisi mkoani Mwanza

15 November 2018
Share

Askari polisi mkoani Mwanza wamemuua kwa risasi mtu anayesadikiwa kuwa jambazi sugu, ambaye jeshi la polisi mkoani humo limekuwa likimtafuta kwa muda mrefu, baada ya jambazi huyo akiwa na wenzake wawili kuingia katikati ya jiji wakitokea eneo la kisesa wilayani Magu kwa nia ya kufanya uhalifu