Back to top

Pogba huenda akaibukia ndani ya Klabu ya Real Madrid msimu ujao.

17 November 2020
Share

Kiungo wa Klabu ya Manchester United Paul Pogba huenda akaibukia ndani ya Klabu ya Real Madrid msimu ujao kutokana na kutopewa nafasi ndani ya kikosi cha kwanza.

Nyota huyo ambaye anacheza timu ya Taifa ya Ufaransa ndani ya United inayonolewa na Kocha Mkuu Ole Gunnar Solskaer amekuwa haanzi kikosi cha kwanza na badala yake Bruno Fernandes amekuwa akianza.