Naibu Waziri wa Kilimo. Mhe. David Silinde, amesema Wizara ya Kilimo inaamini katika Mfumo wa Stakabadhi Ghalani na kuhakikisha mfumo huo unaleta manufaa zaidi kwa wakulima katika kuuza mazao yao.