Back to top

Rais Magufuli amteua Dkt.Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.

26 February 2021
Share

Rais Dkt.John Pombe Magufuli amemteua Dkt.Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Kabla ya Uteuzi huo Dkt.Bashiru Ally Alikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi.

Pia Rais Magufuli amemteua Dk.Bashiru kuwa Balozi.

Zaidi tizama hapa chini.