Back to top

Rais Magufuli amteua Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi ya TPB.

23 April 2018
Share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benkiya Posta Tanzania (TPB).

Uteuzi wa Dkt.Mndolwa umeanza leo tarehe 23 Aprili, 2018.

Dkt.Mndolwa anachukua nafasi ya Prof. Lettice Rutashobya ambaye amemaliza muda wake.