Naibu Katibu Mkuu (CCM) Tanzania Bara, Bi.Christina Mndeme, amesema Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan, amedhamiria kufanya Mapinduzi ya kiuchumi ndani ya nchi hii lengo likiwa kuwaletea Watanzania maendeleo.
.
"Na sasa ni jukumu la Watanzania kumuunga mkono bila kuchoka na kuwapuuza wale wote ambao wamejipanga na hawana nia nzuri na maendeleo ya nchi wasipate nafasi kwani ajenda kubwa ni maendeleo"-Bi.Christina Mndeme.