Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kassim Seif Ndumbo, Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia. Share