Back to top

Rais Samia kuanza ziara ya siku mbili nchini Rwanda Agosti 02, 2021.

01 August 2021
Share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 02 Agosti, 2021  anatarajia kuanza ziara ya rasmi ya kiserikali ya siku mbili nchini Rwanda kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Paul Kagame.
.
Akiwa nchini humo, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan atafanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame, kisha atashuhudia utiaji saini wa hati za makubaliano na kuzungumza na vyombo vya habari.

Rais Samia kuanza ziara ya siku mbili nchini Rwanda kesho Agosti 02, 2021.