Back to top

Sabaya adai alitengenezewa kesi ya uongo.

21 January 2022
Share

Shahidi wa tatu upande wa utetezi ambaye pia ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili yeye na wenzake sita Lengai Ole Sabaya ameendelea kutoa ushahidi wake ambapo amedai kuwa hakuwahi kupewa haki ya kusikilizwa juu ya tuhuma zinazomkabili badala yake alivamiwa na kutengenezewa kesi ya uongo.