Back to top

Serikali yaanza mchakato wa kuajiri walimu.

17 January 2022
Share

Waziri wa TAMISEMI Mh. Innocent Bashungwa ameonesha kuridhishwa na uandikishwaji na kuripoti kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza ambapo pia amesema Serikali imeanza mchakato wa kuajiri walimu na kuongeza matundu ya vyoo katika shule za umma.
.
Waziri Bashungwa ameyasema hayo akiwa katika ziara ya kutembelea shule ya Sekondari ya Chamwino iliyopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma.