Back to top

Serikali yatoa Milioni 26 kwa waathirika wa wanyama Tunduru.

01 November 2018
Share


Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na utalii imetoa kiasi cha shilingi milioni 26 kwa waathirika ambao mazao yao yalishambuliwa na wanyama wakali  na baadhi yao kuuawa na wanyama hao wakiwemo viboko na tembo katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma huku baadhi ya madiwani wa halmashauri hiyo wakiiomba serikali kuwa na mpango madhubiti kukabiliana na wanyama hao wanaotoka hifadhi ya Taifa ya Selous.