
Shirika la Umoja wa mataifa la maswala ya wakimbizi UNHCR nchini Uganda limepata wasiwasi wa fungu la fedha la fedha walilonalo la wakimbizi katika mwaka huu wa 2018.
Mwakilishi wa Shirika hilo nchini Uganda, Joel Boutroue amesema kufikia sasa wana asilimia 9% tu ya fedha jumla wanazotaka katika bajeti yao ya dola milioni 450 walizopanga kutumia mwaka huu.
Huenda shughuli za shirika hilo zikakwama kutokana na ukosefu wa fedha kutoka jamii ya kimataifa.
Hilo litaathiri pakubwa usaidizi kwa mamilioni ya wakimbizi waliopo Uganda baadhi kutoka Uganda na hivi karibuni wengine wanaoonekana kuwasili nchini kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Soza zaidi hapa->https://bbc.in/2I2Fp8Z