Back to top

Shule ya msingi Mwabasabi inakabiliwa na upungufu vyumba vya madarasa.

21 January 2021
Share

Shule ya msingi Mwabasabi iliyopo katika Kijiji Cha Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu yenye wanafunzi 1965 inakabiliwa na upungufu wa vyumba 44 vya madarasa ambapo wanafunzi 4 hukalia dawati mmoja.

Wananchi wa Kijiji hicho wafanya harambee ya kuchangia ujenzi wa madarasa.