Back to top

SILAA AIPA KONGOLE NMB KUTOA GAWIO

02 July 2022
Share

Mwenyekiti wa Kamati Ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PAC) na Mbunge Jimbo la Ukonga Mhe.Jerry Silaa aipa kongole benki ya NMB kwa kutoa gawio la bilioni 30.78 ambapo ni ongezeko la asilimia 40.83. 

Silaa ameyasema hayo kwenye hafla fupi ya kupokea gawio la serikali kutoka benki ya NMB kwa mwaka 2021 ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt.Philip Mpango.