
Klabu ya Simba SC, imefanikiwa kuinasa saini saini ya mlinzi wa kati, raia wa Cameroon, Che Fondoh Malone (24), kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea Klabu ya Cotton Sports FC.
.
M-Cameroon huyo, anayejulikana kwa jina la utani kama 'Ukuta Yericko', ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Cameroon (MVP) 2022/23.
