Back to top

TAKUKURU wahakiki na kurejesha Bilioni 50 za wizi vyama vya ushirika.

22 January 2020
Share

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa( TAKUKURU) imerejesha kiasi cha shilingi bilioni hamsini zilizopotea kupitia vyama vya ushirika.

 Naibu Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Brigadia Jenerali John Mbungo amesema jumla hiyo inatokana na  oparesheni ya ukaguzi wa fedha katika vyama vya ushirika kote nchini.