Back to top

Tanesco yasaidia vifaa tiba wodi ya watoto Hospitali ya Rufaa Tanga.

04 May 2021
Share

Shirika la umeme nchini (Tanesco) limetoa msaada wa vifaa Tiba kwa Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Rufaa ya Tanga. 

Msaada wenye thamani ya shilingi milioni 4.5 umekabidhiwa kwa viongozi wa hospitali hiyo. 

Awali akielezea nia na madhumuni ya kusaidia vifaa tiba, Katibu wa Sheria wa  Tanesco Wakili Amosi Mwita amesema wamekuwa na ushawishi wa kusaidia ili kupunguza changamoto kwa watoto wachanga