Back to top

Tanzania imetangaza rasmi kufungua anga lake.

18 May 2020
Share

Tanzania imetangaza rasmi kufungua anga lake ambalo lilikuwa limefungwa kutokana na ugonjwa wa covid 19 ambapo kwa sasa ndege zote zikiwemo za watalii na kibiashara zipo huru kuingia Tanzania.

Waziri wa ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwelwe  akizungumza jijini Dodoma pia ameliagiza Shirika la ndege Tanzania (ATCL) kujipanga ili kurejesha Huduma za usafari  kwa nchi ambazo zimefungua Anga zao.