Back to top

Tanzania kuizuia Zambia kupitisha bidhaa zake.

27 February 2020
Share

Serikali imesema haitasita kuizua serikali ya Zambia kupitsha mizigo yake hapa nchini kama nayo itaendelea kuwawekea vikwazo  wafanyabishara wa mahindi kupitisha mahindi kwenda nchini DRC.

Hayo yamesemwa na Waziri wa viwanda na biashara Mh Inocent Bashungwa wakati wa kongamano maalum masuala ya  kilimo na biashara.