Back to top

TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA KIMONDO DUNIANI

30 June 2023
Share

Tanzania imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimondo Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika wilayani Mbozi, mkoani Songwe, huku watafiti wa mazao ya anga wakiomba, tafiti nyingi zifanyike ili kugundua mazao mengine ya anga yatakayokuza sekta ya utalii wa Anga na kuongeza idadi ya watalii nchini.