Back to top

Trump: Sijutii kutoa hotuba iliyozua ghasia jumba la Bunge.

13 January 2021
Share

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba hotuba yake ya wiki iliyopita alipowataka wafuasi wake kuvamia bunge la Congress. 

Bwana Trump alisema kwamba ni upuuzi kwa wanachama wa Democrarts kuweka juhudi za kumshataki bungeni kwa 'kuchochea uasi'.

Rais Trump anaondoka ofisini tarehe 20 Januari wakati ambapo Rais mteule Joe Biden ataapishwa.

BBC Swahili