Back to top

UKANDA WA MVUA (ITCZ) UMEIMARIKA - TMA

13 January 2023
Share

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo nchini, Mamalaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema mvua hizo zimesababishwa na kuimarika kwa Ukanda Mvua (ITCZ), hususani katika wiki ya pili ya mwezi Januari 2023.
.
Hata hivyo Mamalaka hiyo imebainisha kuwa vipindi vifupi vya mvua kubwa vimejitokeza katika maeneo machache na kusababisha athari mbalimbali.