Back to top

Ukraine wamjibu Putin kuhusu vikosi vya Nyuklia

27 February 2022
Share

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Dmytro Kuleba amesema kuwa agizo la Rais wa Urusi Vladimir Putin la kuviweka vikosi vya kulinda nchi yake vinavyojumuisha silaha za Nyuklia katika hali ya tahadhari ni juhudi za kuongeza shinikizo kwa ujumbe wa Ukraine katika mazungumzo yaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatatu ambapo amebainisha kuwa hawatakubali shinikizo hilo na badala yake watashughulikia mazungumzo hayo kwa njia rahisi.