Back to top

Utabiri wa hali ya hewa Mei 03 2021.

03 May 2021
Share

UTABIRI 
Mvua kubwa inatarajiwa kunyesha katika maeneo ya Tanga, Dar Es Salaam na Pwani ikijumuisha (Visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba.)

Vilevile upepo mkali unaotarajiwa kufikia 40km/saa na mawimbi makubwa ya bahari  yanayotarajiwa kufikia 2.0m hii inatarajiwa kutokea katika Pwani yote ya Bahari ya Hindi (Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Mafia, Pemba na Unguja ),  Dar es Salaam , Tanga pamoja na  Ziwa Nyasa (Ruvuma na Mikoa ya Njombe)

Uwezekano wa athari ni wakati.