Back to top

Utoaji wa chanjo ya Uviko -19 katika mikoa yote nchini.

30 July 2021
Share

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii , jinsia , wazee na watoto imeanza kufanya usambazaji wa chanjo za UVIKO-19 katika mikoa yote hapa nchini.