Back to top

Vibanda zaidi ya 150 vyateketea moto na mtu mmoja kufariki Mwanza.

23 May 2020
Share

Wananchi zaidi ya 3000 wakosa makazi baada ya vibanda zaidi ya 150 kuteketea moto katika kisiwa cha Kome eneo la Mchangani Buchosa mkoani Mwanza, huku mtu mmoja akifariki dunia na magari 4 aina ya fuso yaliyokuwa yamebeba samaki kuteketea moto.

Kaimu mkuu wa mkoa wa Mwanza Emmanuel Kipole athibitisha.