Back to top

Visa vya Corona vyaongezeka Uganda,akiwemo mtoto wa miezi 9.

25 March 2020
Share

Wizara ya afya nchini Uganda imetibitisha visa vingine 5 vya maambikizi ya homa ya Covid19,na kufikisha idadi ya walioathirika kuwa 14.

Miongoni mwa walioambukizwa ni pamoja na wachina 2,na mtoto mwenye miezi 9,ambaye babake alirejea majuzi kutoka kauti ya Kisumu nchini Kenya.