Back to top

Vyuo vikuu vilivyofungiwa na kufutwa hivi hapa/vipo vilivyofunguliwa.

21 January 2020
Share

Tume ya Vyuo vikuu nchini imevifutia hati baadhi ya vyuo ambavyo vimeshindwa kukidhi matakwa ya uendeshaji ambapo miongoni mwa vyuo vilivyofutiwa ni IMTU.

 

Katibu Mtendaji wa TCU Prof.Charles Kihampa athibitisha.