Back to top

WAFANYABIASHARA NA UONGOZI WA RELI KIMEUMANA MOMBO

07 May 2022
Share

Mtafaruku umeibuka baina ya Wafanyabiashara wadogo wadogo na wasimamizi wa kituo kidogo cha Shirika la Reli kilichopo Mombo baada ya kiongozi mmoja wa shirika hilo kuwataka Wafanyabiashara hao kuondoka kwenye eneo linalomilikiwa na shirika.