Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa amewapongeza Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya nchini kwa kazi nzuri waliyofanya ya kusimamia miradi ya maendeleo na hasa ujenzi wa madarasa.
.
Mh.Majaliwa ametoa pongezi hizo wakati akizungumza na viongozi wa Chama na Serikali wa mkoa wa Ruvuma kwenye uwanja wa ndege wa Ruhuwiko, wilayani Songea.